Monday, 29 October 2012

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, (Aliyesimama), akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari za treni ya abiria jijini Dar es Salaam jana Jumatatu Oktoba 29, 2012, kwenye stesheni kuu ya reli ya kati. Safari hizo za treni ni kati ya stesheni kuu, hadi Ubungo Maziwa na safari zitaanza saa 11 alfajiri hadi saa 5 asubuhi na kusimama kwa masaa 3 hadi saa 9 zinaanza tena hadi saa 2 usiku

Reactions:

0 comments:

Post a Comment